Wanaume chukueni hii

Wanaume chukueni hii

Bengalisis

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
1,851
Reaction score
2,771
"Mwanaume kumbuka kuoa mwanamke unae mmudu, asiwe mwenye kipato sana na asiwe msomi Sana. Usipoteze mda.. Na siku zote mwanaume mwenye kujua thamani ya mkewe ni mwanaume anaependa kumuona mkewe akiwa na tabasamu furaha na amani muda wote, huyu ni mwanaume anaeilinda faraja ya mkewe muda wote, hachoshwi na changamoto za mkewe hata siku moja, ni mvumilivu na mwenye huruma kuu kwa mkewe na ndoa yake kiujumla."
 
Ndoa yako ina umri gani? Maana usije ukawa ndo kwanza umeoa ukajifanya kuleta utaalamu wakati ndoa huijui! Ishi kwanza walau miaka mitano na kuendelea ndo uje na huo utaalam
 
ndugu hawa viumbe hawatabiriki. mwaka wa kwanza utamuona ni malaika, kaa naye miaka 3 atakuwa zaidi ya shetani.

walikuja duniani kimkakati, kamwe usitarajie mbinu ya ndoa fulani unaweza kui-adopt ikazaa matunda kwenye ndoa nyingine.

kukugeuza chambo pale anapoona fursa na mitego yake imenaswa ni jambo dogo sana kama kumeza funda la mate hivyo usijidanganye. hata wachungaji, mashemasi, maaskofu (walio na vibali vya kuoa) peleleza ndoa zao ni fukuto tupu.

kikubwa pambana uokoteze kile kinachopatikana ila usitarajie jipya kwa hao viumbe JAPO SI WOTE.

"1 Petro 3:7
[7]Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.
 
"Mwanaume kumbuka kuoa mwanamke unae mmudu, asiwe mwenye kipato sana na asiwe msomi Sana. Usipoteze mda.. Na siku zote mwanaume mwenye kujua thamani ya mkewe ni mwanaume anaependa kumuona mkewe akiwa na tabasamu furaha na amani muda wote, huyu ni mwanaume anaeilinda faraja ya mkewe muda wote, hachoshwi na changamoto za mkewe hata siku moja, ni mvumilivu na mwenye huruma kuu kwa mkewe na ndoa yake kiujumla."
Unadhani unaweza kummudu mwanamke wewe? Kamuulize Regina Mengi
 
Pale akili ndogo inapotaka kutoa darasa

Ubarikiwe
 
Upupu na ideas za kijinga kwa wajinga ndio watazingatia upupu huu.
"Mwanaume kumbuka kuoa mwanamke unae mmudu, asiwe mwenye kipato sana na asiwe msomi Sana. Usipoteze mda.. Na siku zote mwanaume mwenye kujua thamani ya mkewe ni mwanaume anaependa kumuona mkewe akiwa na tabasamu furaha na amani muda wote, huyu ni mwanaume anaeilinda faraja ya mkewe muda wote, hachoshwi na changamoto za mkewe hata siku moja, ni mvumilivu na mwenye huruma kuu kwa mkewe na ndoa yake kiujumla."
 
Jamani nashangaa sana wanaume kutuchukulia kwa oicha mbaya sana wanawake .ingawa wapo baadhi ! eti mtu anamfananisha mwanamke na shetan..hv unaishije na huyo shetani sasa jaman .khaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom