++
Kumekuwepo na baadhi ya wanaume ambao wanapotafuta wenza wa maisha basi,,wangependa kupata mwanamke bikra. Nadhani bado wanaume wengi wanajua machache kuhusu bikra. Basi wasome hapa
++
Kuna kiungo kama musuli ambacho chaweza kuwa kigumu,upande wa nje wa uke wa mwanamke. Kiungo hichi ambacho ni kizinda ndicho huitwa Bikra.
Nafasi iliyoko kwenye kizinda cha msichana bikra ni kiasi cha upana wa inchi moja.
++
MUHIMU KUTAMBUA
50% ya mabinti husikia maumivu kidogo wakati bikra inapotolewa.
20% hawapati maumivu yoyote.
30% husikia maumivu makali
Wakati mwingine binti anaweza kupoteza bikra yake kutokana na shughuli za kawaida,,hivyo usidhani imetoka kwa mapenzi tu.
++
KWA MUJIBU WA UTAFITI WA Dokt Marie Robinson
++
Maelezo sahihi ya BIKRA (Virginity) ni kuwa imma mwanamke hamjui mume (tendo la ndoa) au mwanamume hamjui mke (tendo la ndoa hili hilo). Wanaume pia wanaweza kuwa bikra.
Kama ilivyosemwa hapo pekundu, mwanamke anaweza kuipoteza hiyo ngozi (hymen) katika michezo (riadha), kupanda farasi, baskeli, nk. Technically, kama mwanamke amepoteza hymen yake kwa michezo (riadha) na sio kwa ngono basi yeye bado ni bikra.
Katika mfumo-dume wetu tunasisitiza lazima mwanamke atoke damu atakapokutana na mwanamme kwa mara ya kwanza la sivyo basi sio BIKRA.
Nasubiri masahihisho.
hahahaha mkuu umetisha unataka picha ya bikra?? lolweka picha
bila kusahau bikra hii waweza kuirudisha kwa kutumia kaisiki......!!!!!!
Hiyo ya kutoka bahati mbaya ni uongo,usitoe excuse mkuu ikawa wanazichezea halafu akiolewa anatoa story kama hizo!
bila kusahau bikra hii waweza kuirudisha kwa kutumia kaisiki......!!!!!!
bila kusahau bikra hii waweza kuirudisha kwa kutumia kaisiki......!!!!!!