Wanaume bhana mna mambo

wa kujilaumu ni wewe, kwani mimi najua siku zako za hatari!? ulinipa papuchi nikaisugua na uliona kabisa hatutumii condom sasa unakuja kunitangaza huku ili iweje!? ila i will miss you baby girl
Ulijua ni siku ya hatari ukaonelewe ufanye yako ila sio powa umeniweza
 
Tumia condom acha kutuchosha, but hongera wenzako washakula kila aina ya miti shamba lakini wapi, hongera sana mama Kijacho
 
Wasichana/ wanawake hamueleweki jamaa akisepa tu unaendelea na mwingine, ila kiboko chenu ndo huwa mimba
 
mwanamke mwenye akili hawezi nasa mimba kirahisi rahisi, huyo aliyataka mwenyewe na kunogewa na utamu wa mchezo
kabisa yani kweli mdada unaenda enda tu hujui hata mzunguko wako kweli???labda kama na yeye alikua anacheza patapotea.
 
Sasa wewe utaendaje kuchanua miguu huku ukiwa katika siku za vigeregere,alafu mko katkati ya mbio unasikia ooh baby kojoa nje,sasa mtu mzima nitakojoaje nje huku watu wanapita na watoto wanacheza,,mm nitakojoa ndani hukohuko
 
Sasa sioe halafu ufanye hivyo jamani kuliko kumfanya mwenzako single mother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…