Wanaume bhana mna mambo

Lazima upewe zawadi ili
ukatulize msh...no usiwe mdangaji unapoenda,ata jamaa akitaka ushauri nitamwambia asiwe boya aweke kitu.
 
Zawadi ya pekee anayo hitaji mwanamke ni mimba tu ..ukimpa magari na majumba atakudharau na kukukimbia... over
 
Kwani ilikuwa lazima mfanye? Au mlitegemea matokeo gani baada ya kufanya. Hivi kuku nao wangeamua kutumia Condom mnafikiri mayai ya kula chipsi mayai mngeyatoa wapi?
 
Muache uzinzi.

It takes two to tango.
 
Chriss Mauki njoo ukoa huyu single mama.. Pole katoto kabayaee
 
Kama mnapenda mabishoo sisi wengine tufanyeje. Anakuja mtu ana nia nzuri wewe eti am taken na kapete uongo ulikovalishwa mbele ya rafiki tu tena siku ya bday hata dada ake humjui.

Pole yake/yako.
 
Ila kuna vigezo vya kujaza dunia oeni namzae ili mjaze dunia sio umpe mwenzako kama zawadi yakawaida.
πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hio ni zawadi special sio ya kawaida, kama huamini muulize jide au wema sepenga
 
Kama mnapenda mabishoo sisi wengine tufanyeje. Anakuja mtu ana nia nzuri wewe eti am taken na kapete uongo ulikovalishwa mbele ya rafiki tu tena siku ya bday hata dada ake humjui.

Pole yake/yako.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli kabisa, sie tulio serious huwa tunaonekana cartoon tu mbele yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…