Wanaume amkeni acheni kulalama

Wamekusikia, usipomuhudumia mke wako unataka ahudumiwe na nani, hii kweli ni kutojitambua, for me my woman comes first aisee mpaka hapo atakapoamua kinisaliti ndio haka kautaratibu katasitishwa(God forbid)..

ukiona umuhudimii mkeo au mpenzio jua kuna anayejielewa anamuhudumia
 

Chief as long as umeshamuweka ndani kama mke wako haijalishi ulimkuta bikra au tayari bwawa kuwa responsible kwake sio jambo la kufikiria tena bali ni jambo la lazima, usipofanya wewe kwa njia moja au nyingine utasaidiwa, halafu usiombe mke wako aanze kuliwa kisa kutokuwajibika kwako, jamaa anapewa yote mpaka zile style ambazo wewe haujawahi pewa..
 
Halafu kaguswa

noo!!! bado kwa point aliyoongea hakuna kilichonigusa!!!
we mwenyewe cheki unakuta mfano wote mnasoma chuo bumu mnapata sawa ila anataka bumu langu achukue yeye akili gani sasas hiyo!!!!!
 
Unasema papuchi sio dili?
mxuuuuuueeeeouu jana wewe siulikuwa wa comment jinsi ulivyokuwa wavuruga papuchi zawatu leo hii wasema hazina laza ovyooooo,kama azina laza mbona mwafumaniwa kila siku?
Wee jitoe ufahamu tu hapo ila tena wewe ndo mpenda papuchi mzuri tu, tena uwache kulalama hahahahaha.
Alafu wasema zatanuka kumbuka kwako kinyesi kwa mwenzio dhahabu teh teh upo mwisho wasiku utaishia kuchapiwa tu mxxxxuxxxxxuuuuuiiiiiii!!:A S wink:
 
ukiona umuhudimii mkeo au mpenzio jua kuna anayejielewa anamuhudumia

Ni kweli dada yangu, utakuta mwanaume anajigambaa kuwa mkewe anampenda sana na deep inside anajua fika hakuna afanyalo kudeserve tht kind of treatment, shtuka jombaa kuna linjemba liko nyuma ya pazia..
 
......
ninaaga wazazi ndugu nakuja kwako wakati mwingine natoroka alafu nakuja ili utumie pesa yangu mfyuuuu koma kabisa mwanaume amka ... mwanaume si kujua kitundu cha papuchi bali mwanaume ni MAJUKUMU....
Kama haya ndio mdada anayafanya, hamna sababu ya kumhudumia. Ajihudumie mwenyewe.
Acheni kulalama wadada, huwezi kuhudumiwa huku umeamua kuwa na mahusiano yasiyo rasmi.
Acheni vijana watafute pesa, wawekeze na kujijenga.
Sio umetoroka home, unakuja ukitegemea uondoke na nusu ya mshahara wa mtu..!
 
 
The end you r disgusting.......na inaelekea message Hi ilikuwa yako moja kwa moja mic chagga kakushtukia......you r a devil himself
QUOTE=The End..;10707203]atakaye like huu uzi nitamshangaa sana!!! yaani huyu miss chagga haelewi kabisa:
1.papuchi siyo dili siku hizi zinapugua ladha siku hadi siku!
2.unapotoroka kwenu kuja kwangu wewe ndo ----- siyo mimi...
3.kuzaa kwa uchungu siku hizi hatutaki watoto wanakuwa mapanya road tu!
4.nakushangaa kipindi sijakutongoza ulikuwa unaishi vizuri kwenu na unahudumiwa kila kitu nilivyokutongoza mimi basi shida zote unanishushia mimi kisa nakutia tu!!! acheni hizo mtu anapokuhudumia shukuru ilibidi akuhudumie akikuoa!!!
5.kwa mlioolewa poleni sana yaani ukweli huwa tunakinai na papuchi aina moja ndo maana mtu anashinda bar coz haoni tena ladha imetanuka sana mpaka uingize gegedo na mkono mmoja sasa ya nini yote hayo!!![/QUOTE]
 
Hahahahah utachekwa na dunia wewe wapo sana walio lala saaizi, unakuta janaume zima la lala mpaka saa 10 asubuhi, kweli huyo siataishia kuliwa kiboga tu, alafu hata kujishughulisha hataki
Kuna mwanaume kalala sa hiziii acheni utani
 

ha!!! ha!! ha!! ha!! ha!!
kupanic ni ishara tosha kuwa umeelewa somo!!!!
 
noo!!! bado kwa point aliyoongea hakuna kilichonigusa!!!
we mwenyewe cheki unakuta mfano wote mnasoma chuo bumu mnapata sawa ila anataka bumu langu achukue yeye akili gani sasas hiyo!!!!!

kwa nini utongoze kama huwezi kuhudumia nani kakutuma? kutongoza maana yake unajiweza wewe sasa unataka kuwezesha wenzio...
 
Hahaha,unanipa raha.kwa kweli Mimi mwenyewe nimemuacha MTU kwa sababu hii.kwa sababu sipendi kukaa na MTU ambaye hana msaada.MTU unaweza ukaugua ukimwambia anakujibu "hivi kwani Mimi ni daktari"

Awe msaada kwako kwa sababu zipi?
Nani kampa jukumu la kukuhudumia?
Yani mtu aache kujitengenezea future yake, ahudumie mtu ambaye hajui anachohitaji katika maisha?
Concubines willl remain concubines..!
The point is, hana jukumu na wewe, umejirahisi kwake and that's why he treats you that way. mzabzab kasema juu hapo, hajakukuta bikra, so chances are atakuacha utaendelea na wengine, so what's the point kupoteza rasilimali zake kwa mtu wa kupita?
 
Last edited by a moderator:
Raha ya mwanaume akutunze, mwanamke hata ukimnunulia chupi za buku buku anaridhika, mwanamke haitaji mahela mingi, niwewe tu kumjali kwako kwavitu vidogo vidogo.
 

mfa maji huyu... ndiyo maana nimemwacha tu
 
Sio kupanic wewe acha kuzarau papuchi njia iliyo kuleta duniani wewe hahahaha, leo hii waitukana na bado wapenda kurudi huko huko ulipo pitia
ha!!! ha!! ha!! ha!! ha!!
kupanic ni ishara tosha kuwa umeelewa somo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…