Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 541
Malaya wamekuwa wengi siku hizi. Hela imekuwa ngumu zaidi wanakuja lalamika hapa. Olewa utapata kila utakacho
Yaani mwanamme unakosa hata hela ya kuhonga aaahhh. Tumieni akili bana. Bora hata ukose hela ya kula kuliko kukosa hela ya kuhonga.
Mmekua wengi sana halafu warahisi sana,sasa kama mimi nina wife material mtarajiwa,mchepuko rasmi mmoja,michepuko isiyorasmi mitatu na wote hao wakaniomba hela nikawapa sintashindwa kujenga,wanawake wengine inabidi kuburudishana tu kama labda nataka kukupa hela mwenyewe ntakupa,after all unakuta unaesema hivyo ni mchepuko ambao ni informal tena una PAPUCHI MLEGE, mi sikupi nampatia tu yule ninayetegemea kumwoa...