Wanaume acheni ubinafsi mnatesa watoto wenu!

Wanaume acheni ubinafsi mnatesa watoto wenu!

Halagu watoto wanakuwa wakubwa na maisha yao yeye akiwa juu ya mawe anaanza kumlaumu mama yao kuwa kawalisha sumu watoto ili wasimpende, ngoja huyo dada kimada ale bata huko mbele majibu yapo, uzuri malipo huwa hapa hapa duniani
 
Kama kaka ako ni bwege hata uyo mpya ataachwa akihangaika na mtoto siku si nyingi,
 
Halagu watoto wanakuwa wakubwa na maisha yao yeye akiwa juu ya mawe anaanza kumlaumu mama yao kuwa kawalisha sumu watoto ili wasimpende, ngoja huyo dada kimada ale bata huko mbele majibu yapo, uzuri malipo huwa hapa hapa duniani
Yaan wanakuwaga wa kwanza kutaka msaada wa watoto huku aliwaacha hawajui lolote
 
Halagu watoto wanakuwa wakubwa na maisha yao yeye akiwa juu ya mawe anaanza kumlaumu mama yao kuwa kawalisha sumu watoto ili wasimpende, ngoja huyo dada kimada ale bata huko mbele majibu yapo, uzuri malipo huwa hapa hapa duniani
Umeona eeh! Alafu anavyomponda Diamond kwa kutokumsamehe baba yake sasa [emoji23][emoji23][emoji23] wakati mwenyewe anajitengenezea mazingira hayo hayo
 
Wanawake bhana! Tutofautishege kujengewa, na kupewa nyumba tuishi kama ni michepuko jamani eeee! Unajiaminisha mwanaume kakujengea hati jina lililopo unakuta ni la mwanaume au watoto wake wa mkewe wa ndoa, inafikia siku shetani anawageuka na kuwaumbua unafukuzwa km ulokuwa umepewa hifadhi ulinde nyumba. Niwashauri tu mnaodanga dangeni kwa akili fanya ufanyavyo ununue km ni kiwanja kwa jina lako, km ni gari kwa jina lako
 
Kuoachana au mke kuondoka tu baada ya kadhia za mme sio rahisi hivyo mkuu
Nakubaliana na ww sio rahisi ila kwa mwanamke anayejitambua vizuri kuachana na mtu wa namna hiyo sio ngumu kuliko kuvumilia kipigo cha kila siku na cha makusudi
 
Back
Top Bottom