Tulia hivyo hivyo kama ulivyo na shape asilia utapendwa tu.Salaam,nmewaza sana juu ya huu utumwa tulionao wanawake ambao unasababishwa na tamaa za wanaume:
Miaka ya nyuma wanaume walikua wanataka wanawake wembamba(English figure,easy to carry)ilhali wanajuawanawake wa kiafrika nimatukunyema wanawake tukasema hakuna tatizo tukapungua tukawa wakina chaupepo.
Mkaona huo mtihan tumefaulu mkaja na nyingne eti mnataka mwanamke mweupe (chocolate colour)carolote zikahusika watu wakakoboka Hadi mzungu akaanza kuogopa maana kasi ilikua kubwa
Mkasema hiyo pia wamefaulu sasa tunataka mwanamke mwenye flat tummy,wanawake wakawa wanakunywa mkojo wa mbuzi na limao wengine maji ya moto
Mkasema bado tunataka wowowo ikawa kazi rahisi mchina akahusika watu wakapaka Hadi ugoro (vile unavonuka alafu mtu anakomaa nao kupaka na kulala nao ili apate wowowo)sisi wenye flat screen tuliitwa majina mengi kitaan
Sasa eti mnakuja na Kali ya mwaka mnataka wanawake wenye blue eyes (macho ya blue )Dhumuni lenu nini?tuwe vipofu?tumechoka wajamenii..tumechoka Miili yetu kufanyiwa service kama toyo 2018 tupumzisheni.
Asante dadaPole sana mwaya kwa kuwa umejiamulia kuwa mmoja ya wanaotaka kuzuzuliwa na hao wanaume wasiojua kusimamia kimoja wanachokitaka yaani kila wanachoona wanatamani.
Nikwambie tu, misimamo inatakiwa tuwe nao sisi wanawake kama wanataka wenye macho ya paka waache wawatafute na sio kutuchanganya.
Tujiamini tu kwamba kila mwanamke kuna ambacho anacho cha kipekee kinachoweza mvutia mwanaume kama huna kalio basi sura itakuwepo. Huna mguu basi shepu itakuwepo. Hivyo yaani.
Kiukweli m cjawahi vutiwa na mwanamke!!! Nmekuwa nikitaman kulala nao tu baada ya hapoo!!! Shughul imeixhaa!!!!
Karibu sana mdogo wangu.Asante dada
Hahaha!! Nature ya watanzania ujuaji mwingii na dharau!! Anyways umesikika ndgu!!!Mkuu jitahidi kuandika vizuri maana uandishi wa facebook hapa JF hauna nafasi.
Kwa kawaida english figure hazina chura, labda iwe ya kichinaMimi mpaka leo napenda english figure over bantu figure ila hiyo english figure iwe na chura
Aaagh...Lakini kweli aisee !!! Tuache kukosoa kwasababu hata tukiambiwa tuumbe wadoli sisi hatuwezi.
Tuheshimu uumbaji wa Mungu.
Hao ni wavulana wa mikoani, sisi huku mjini hatuchagui, kwani wahenga walisema mchagua K si mt*mb*ji
Tena wavulana wa huko kwenye mwendo kasi huku kwetu hakuna hayo mambo tukioga maji ya visima hatuna haja ya kupaka madudu yoyote na wanaume wanatuona ma Queenshao ni wavulana sio wanaume