Asante mkuu kwa mawazo mazuri naushauri mzuri kwa wanaumeUjumbe huu ni mahsusi kwa wanaume wote waliokwenye ndoa na wasiokuwa kwenye ndoa.ambao hawajafikia viwango vya Forbes katika kumiliki hela.
Mungu anatupa fursa za kumiliki hela
wengi wetu tunaishia kuzitapanya ikifika fainali network zimeacha ku sense kazini
wamekuja wamechukua kitengo chako vijana,unaanza kuugua kwa mawazo!
ukipata hela nunua viwanja,jenga majumba ya kupangisha kadri utakavyo
weza.achana na kununua magari mawili,matatu,manne unajiona mjanja!
acha kutapanya hela kwa kuhonga. mistarehe ya wadada,mitoko,miharusi kila wiki! khah.
Achia wanao urithi.nawewe zikutunze
uzeeni! Magari,wanawake,starehe zinapita.maisha yako na ya watoto yapo!
don't say.idid not warn you!
mmmmh...Mfano ww usiehonga nyumba yako umejenga wapi? Ebu weka picha ya hati ya nyumba yako hapa wakuelewe!
AsanteUjumbe huu ni mahsusi kwa wanaume wote waliokwenye ndoa na wasiokuwa kwenye ndoa.ambao hawajafikia viwango vya Forbes katika kumiliki hela.