Mliooa jitahidini kuwananihii...vizuri wake zenu,wanatusumbua mitaani,msijifanye mko busy
Kama unajua ni mke wa mtu kwanini unatembea nae? Yani kila anaekusumbua ndo utembee nae?
chunga ndugu zama hizi binadamu wamebadilika sana! Yanaweza kukupata ya ajabu.
Mliooa jitahidini kuwananihii...vizuri wake zenu,wanatusumbua mitaani,msijifanye mko busy
Mliooa jitahidini kuwananihii...vizuri wake zenu,wanatusumbua mitaani,msijifanye mko busy
Sasa si mnamsumbua??He he he, usifanye leo wanamme wakajeruhi wake zao iwe fundisho la siku zijazo. Sasa wewe naye unasumbuliwa nini? Mbona kama unanukia maziwa kabisa?
Ya ajabu yapi? Cha kuokota si cha kuiba mwenye mali ni mjinga - sosi King'asti
Hao watakuwa wake wa maengineer na madereva ! Teh!
Nona unatutafuta ubaya madereva wa maroli...Hao watakuwa wake wa maengineer na madereva ! Teh!
Sasa si mnamsumbua??
Na siku hizi eti mnataka damu inayochemka
Sijui wengine hawana majiko!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
bora umesema mapema usije kupata lawama
inawezekana baadhi ya wanaume wengi ndani ni wanaume suruali mpaka watumie mkuyati
Hizi damu zinazochemka zinajichemsha zenyewe tu au na wasichana wao, hawawezi kuchemsha wanawake. Vingine vinajitongozesha tu, vitoto vya siku hizi vina njaa kama nini, si ndoa maana vyaitwa marioo