Wanatumia haya maneno ni division 5?

cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,771
1,943
Katika miaka ya hivi karibuni kuna uhuni kwenye maandishi hasa kwa wanaotuma meseji kwenye simu au post kwenye mitandao ya jamii wakitumia maneno kama xaxa, xan, xaf, luv, n.k. Wenye kujua maana ya haya maneno watujuze. Unaweza kuongeza mengine uliyo kwisha yaona.
 
So wat?
Ndo wale wale wenye div 5 zaman zero et wanachekana
 
So wat? Ndo wale wale wenye div 5 zaman zero et wanachekana
Kojoa ukalale post inaeleweka vizuri. If you don't have any idea to contribute it is better to remain silent you idiot.
 
mkuu kwa hili utakereka lakini vijana wa sasa ndio wameshadumbukia humo
 
mhhh ukitoa post jiandae kupokea majibu yote.....uvumilivu unahusika
 
Hebu rudia ulichokiandika kwa Kingereza kama wewe sio Mbulula.

Hajitambui huyo, ndo walewale wamefeli wamekosa ajira wamezolewa na kuwekwa humu kukashfu watu. Hata kwenye ID yenyewe hajamtendea haki mwenye jina.
 
Kuna zile mwisho wa kuchati unaandikiwa "K" hii huwa inanichanganya sana nikianza kufikilia vitu vinavyaanza na "K"
 
Ni upu..mbavu kuharibu tamaduni zetu halafu tuendelee kuchekelea, xaxa, xaf, xana, ni lugha gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…