iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,918
- 2,153
Mwambie awe ngangari, hiyo familia inaonesha ina madharau. Kwa ustaarabu wa kawaida tu ukiacha desturi zetu shemeji yako hawezi kutoa jina la mtoto wako. Asimame kama mwanaume otherwise ataolewa yeye
Wamempa jina la Wema?mkuu sasa mimi nashindwa kumwambia jamaa ukweli ila kamwambia mwanamke sikutaki na sikuoi tena sasa analia na kuomba msamaha eti hakujua jina aloitwa ni la msanii kisa mama mkwe kalipenda sasa mimi nataka nisiende kusuruhisha na mimi mwanamke ananisumbua nimumbembeleze jamaa na jamaa hataki kusikia inshu ya kurudiana
Kama alikuwa bado hajamuoa huyo mwanamke, hana haki ya kutoa jina ashirikishwe kutoa jina yeye kama nani?
haki ya kutoa jina ni ya baba na mama wa mtoto. huwa nachoshwa sana na wakwe kuwa na kimbelembele cha kuita majina. si wawaite majina watoto wao? kwa nini kung'ang'ania kuita jina mtoto wa mwenzio? hasa upande wa mwanaume ndo huwa wanayo hii tabia chafu
pamoja na kuwa anahaki ya kushirikishwa kwenye itoaji wa jina la mtoto.lakini hiyo sababu haitoshi kumuacha mzazi mwenzie
Upande wa kwetu kuna dada pia ,sasa tukikurupuka kutoa jina kwa mtoto wa dada tunakuwa upande wa "mwanaume" bado?kama wewe hapo upande wa kwenu
Upande wa kwetu kuna dada pia ,sasa tukikurupuka kutoa jina kwa mtoto wa dada tunakuwa upande wa "mwanaume" bado?
Hii kali kweli, kibongo bongo kitendo tu cha kumpa mimba binti yangu bila kumuoa kwangu mimi ni tusi sembuse kumtafuta ashiriki kutoa jina?ashirikishwe kama baba wa mtoto. kuoa au kutooa hakuondoi ukweli kuwa yeye ndiye baba wa mtoto
Kama alikuwa bado hajamuoa huyo mwanamke, hana haki ya kutoa jina ashirikishwe kutoa jina yeye kama nani?
Wamempa jina la Wema?
Anajuaje kama baba wa ukweli wa mtoto ndo katoa jina hilo kisha anadanganywa ukweli ndo wamempa?
Ni wazazi gani, binti yao anapewa tu mimba from no where- aliyempa humjui kisha unakurupuka kwenda kutoa jina kwa mtoto? Its a shame kwa utaratibu wa kiafrika hadi sasa.
Na mwanaume ambaye mtoto wake kachaguliwa jina kwengine ana haki ya kumkataa!
A name carries with it a lineage (urithi wa kinasaba) heritage, customs and pride. Na kiafrika ni from a fathers lineage.
Kama baba hakuchagua jina la mtoto basi hawezi kuitwa ni wa ubini wake. Na kwa sababu jamaa hajatoa mahari upande wa binti una haki ya kumchukua huyo mtoto kabisa kama wao so jamaa anaweza kusepa zake!