Wanatafutwa Waalimu wa Chekechea kutoka Kenya/Uganda

Wanatafutwa Waalimu wa Chekechea kutoka Kenya/Uganda, Shule yenyewe ni English Medium na ipo mkoani Masama Ng'uni - Marukeni Kilimanjaro,
Kwa mawasiliano Piga Simu namba 0715393977
Kauli yako ya "kutoka Kenya au Uganda" ina utata.
1. Aliyesomea Kenya au Uganda.
2. Aliyekuwa safari Kenya au Uganda.
3. Raia wa Kenya au Uganda.

Rekebisha kauli yako hiyo kwanza kwabla hujaanza kukataa.
 
Walimu wa bongo wana bahati mbaya sana, serikalini ajira zimesitishwa huko private nako wanataka foreigners
 
Unamdhurumu Rais wa nchi, ndio nyie wasaliti wake anawatafutaga....hata shule ipeleke hukohuko
 
Kauli yako ya "kutoka Kenya au Uganda" ina utata.
1. Aliyesomea Kenya au Uganda.
2. Aliyekuwa safari Kenya au Uganda.
3. Raia wa Kenya au Uganda.

Rekebisha kauli yako hiyo kwanza kwabla hujaanza kukataa.
Siyo tata Kiongozi, inajitosheleza, hakuna mahali inasema kusomea au aliyekuwa safarini bali Mwalimu ana uzoefu wa Kufundisha Kenya/Uganda hata kama akiwa ni Mtanzania anafundisha au aliwahi kufundisha Kenya/ Uganda it doesnt matter
 
Mwigulu Nchemba shirikiana na waziri mwenzako wa kazi kudeal na hawa wahuni wanaowanyima fursa vijana wa kitanzania wanaolalamika kukosa ajira.
Kiongozi, kazi ya ualimu wa chekechea nini, zipo nafasi kibao kwenye hizi taasisi binafsi zinahitaji watu ambao ni aggressive siyo kama wabongo wengi wana vyeti vikubwa lakini hawawezi kitu,
Ni bora tuagize waalimu wawaweke sawa watoto wetu kuliko kuendelea kuagiza wafanyakazi kwenye sekta zingine
 
Back
Top Bottom