Wanasimba wanatarajia nini chini ya uenyekiti wa Murtaza Ally Mangungu?

Librarian 105

JF-Expert Member
May 6, 2023
239
325
images(11).jpeg

Msimu mwingine bila kombe kwa wanasimba. Kebehi ya mtani ni: tayari ushindi wa SIMBA SC ni ahadi ya mwenyekiti wake kuifunga YANGA.

images(10).jpeg

Mindset ya mwenyekiti huyu ndo naihoji, kisha najiuliza, wanasimba wanatarajia nini msimu ujao chini ya uongozi wake?! Ni kuifunga tena YANGA au nini?
 
View attachment 2632152Msimu mwingine bila kombe kwa wanasimba. Kebehi ya mtani ni: tayari ushindi wa SIMBA SC ni ahadi ya mwenyekiti wake kuifunga YANGA.
View attachment 2632162
mindset ya mwenyekiti huyu ndo naihoji, kisha najiuliza, wanasimba wanatarajia nini msimu ujao chini ya uongozi wake?!
Ni kuifunga tena YANGA au nini?
Kaka hili la kuifunga yanga mnalipotosha, alichosema kati ya niliyoyaahidi nimefanikiwa moja la kumfunga yanga na si kwambwa ametimiza malengo yake yote aliyojiwekea
 
Kaka hili la kuifunga yanga mnalipotosha, alichosema kati ya niliyoyaahidi nimefanikiwa moja la kumfunga yanga na si kwambwa ametimiza malengo yake yote aliyojiwekea
lakini hii ya kuifunga yanga haikukaa sawa kwa legacy ya simba sasa hivi. Ni vyema apambane kuzihusisha hisa asilimia 51 za wanachama.
 
Dah! Mpira Wa Bongo Raha Sana! Yaani SIMBA kumpiga viwili tu Mtani! Ndiyo mojawapo ya lengo!
Kwa legacy ya simba hakika ni mtihani. Lakini kwa mambo ya utani, ni mojawapo ya lengo.
Na kwa upande wa maendeleo ya soka kimataifa, inamaanisha uchache wa weledi wa usimamizi katika soka la kisasa.
 
View attachment 2632152

Msimu mwingine bila kombe kwa wanasimba. Kebehi ya mtani ni: tayari ushindi wa SIMBA SC ni ahadi ya mwenyekiti wake kuifunga YANGA.

View attachment 2632162

Mindset ya mwenyekiti huyu ndo naihoji, kisha najiuliza, wanasimba wanatarajia nini msimu ujao chini ya uongozi wake?! Ni kuifunga tena YANGA au nini?
Manzoki kuja kuwasalimia wana Simba
 
moo aachane na madalali akina try again.barbara alikuwa anachukiwa kisa hakutaka madalali.mpaka wakaanza kumsema mtoto wa watu kuwa kahamishia ofisi kwenye gari.babra akaona isiwe tabu akawaachia timu yao
 
kwa hiyo tatizo kuu la simba ni la kimfumo wa uongozi na uwekezaji wa mo dewji?
 
mudathir yahya alikuwa anataka mil 50 aende simba madalali wakaenda kumwambia babra mudathir anataka mil 100.babra akakataa.leo mudathir ni yebo yebo
 
mudathir yahya alikuwa anataka mil 50 aende simba madalali wakaenda kumwambia babra mudathir anataka mil 100.babra akakataa.leo mudathir ni yebo yebo
halafu kuna uwingu kwa mashabiki wa kumtaka
jemedari Hans Pope bora angekua hai. Huyu mwamba anatakiwa akumbukwe kwa mazuri aliyoifanyia simba na kuyaenzi, kwa mashabiki kupaza sauti za kuwakosoa viongozi wao ili kuwajenga wanapokosea.
 
Back
Top Bottom