Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,748
- 28,138
I salute you kinsmen
Kiukweli kuna jambo linatatiza sana sana!
Kuna team ipo hapo kariakoo na jengo Lao la msimbazi la mchongo huwa ina matatizo makubwa sana
Wao hawakubaligi kuwa wameachwa hata siku moja!
Kwa wanasimba vichwa mbonyeo kama Tui TAI DUME Lupweko Scars hawa jamaa wanataka mchezaji akae kwao mpaka anakufa!
Hawajui kama mchezaji ana familia na maisha mengine pia wao wanadhani wachezaji ni team za baba zao hizo
Simba hamtaki kumove on kwanini? Shabalala ameshawaacha kwa mabingwa yanga na huku bado mnamuombea dua mbaya eti aozee benchi!
No haiwezekani atacheza na mbona anapokelezana na boka? Au mlizoea kama kule kwenu anacheza mechi zote mpaka za mabonanza??
Huku yanga mambo yanaenda kitaalamu tu mchezaji huwezi kucheza mechi zote mashindano yote!
Na bado ukionyesha uwezo utacheza tu, sasa nyie shabalala alikuwa hata kama kachoka mnamforce acheze hivyo hivyo..
Kawakimbia sababu aliona muda unasonga na haieleweki team ipo ipo tu kama kilabu cha wanywa gongo na wanzuki sasa kwanini asiende kwa team yenye mipango kabambe na maisha mazuri?
Pesa za usajili za msimu uliopita alipoongeza mkataba hamkumlipa halafu bado mkataka aongez emkataba? Yaani mlitaka kusongesha?
Nyie bwana move on alishawaacha hakuna haja ya kumfuata fuata
Hata kama alikuwa anawapelekea moto vizuri just be a good woman and find other man..