Wanasimba mkubali shabalala kawaacha just move on!

Wanasimba mkubali shabalala kawaacha just move on!

Heshima gani?
Mlishindwa kumpa heshima yake kwa kushindwa hata kumlipa pesa zake kwa wakati heshima gani hiyo??

Ndio maana kaamka kusepa kwenda kutafuta pesa zaidi heshima mbwembwe tu

Sasa msimuongelee na yeye ana familia pia
Unaongea kwa mihemko na hujui lolote kuhusu zimbwe kuondoka

Kwamba mashabiki ndo walikataa kumpa pesa?Japo kua si kweli kua walikataa kumpa pesa, ugomvi wako na uongozi unaupelekaje kwa mashabiki waliokua wanakupa sapot kwa muda wote uliokua klabun?

Zimbwe ni Mjinga kwa muda aliokaa Simba akupaswa kabisa kua na tofauti na Mashabiki waliokua wamapenda na kumpa sapoti

Uongozi wa timu unabadilika mashabiki wapo ni walewale
 
Hayo ndio maneno ya mfamaji? Msimu uliopita na sasa ana tofauti gani? Si ndio yule yule tu?

Siwezi kuumiza kichwa kwa sababu ya upumbavu wa wanasimba kichwa umiza wewe hapo

Move on mzee
Kichwa kinawaza ujinga,unayemwaza ni wewe uliyeleta mada ya kijinga
 
Simba hatuwezi jishughulisha na mchezaji aliyeisha ubora kama ilivyo kwa Tshabalala.
Umri wake umeenda na hana kipya uwanjani ndio maana yupo Yanga tu hapo anachoma mahindi benchi akisubiri kwenda Singida mwakanj
 
Mara hii amekuwa babu? Msimu uliopita hapo msimbazi alikuwa kijana ila sasa ni babu?

Hizi ndio chuki tunazosemea move on wansimba shabalala amechagua mafanikio
Kwa akili zako kwenye maisha ya soka utasema Shabalala bado kinda?
 
Back
Top Bottom