MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,543
- 11,644
Kwa taarifa yenu ni kuwa sehemu kubwa ya Madini nchini yako mikononi mwa Makada wa CCM.
Ndiyo maana tunataka katiba mpya, tume ya maadili na mali za viongozi haifanyi kazi
Ndiyo maana tunataka katiba mpya, tume ya maadili na mali za viongozi haifanyi kazi