Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 798
- 865
Utter nonsense!"Hebu tafakari:
Mwanasiasa anasimama mbele ya wafuasi wake na kuanza kuwaponda viongozi wa Serikali kuwa hawana akili au ni wajinga, akidai hawawezi kuleta maendeleo; wakati huo huo, huko anakotoka ameshindwa hata kuwahamasisha na kuwawezesha vijana wa chama chake walau kujiajiri. Katika mazingira kama hayo, ukiitwa 'nguchiro' una sababu gani ya kulalamika?
Ni muhimu kwa wanasiasa kutambua kuwa mjinga huvutiwa na matusi, kejeli, na kila aina ya maneno yaliyojaa upuuzi. Hata hivyo, mtu mjanja na mwerevu huvutwa na hoja zenye mashiko, wala si makelele yasiyo na tija kama ya nguchiro." β Alloyce, P.R.
Huu ndio Unguchiro ninaosema, husomi, unakurupuka ku comment.Sema nchi hii Nyerere na Mwinyi walikurupukia mfumo wa vyama vingi tu watanzania walikuwa hawajawa tayari kuvipokea.
Sasa kama wewe ulichoonesha hapa ni ujinga mtupu. Sababu bado uelewi maana ya chama Cha upinzani ni nini.
Unataka kije kikusifie tu kisa unatawala huo sio upinzani huo ni ushirika wenza. Jifunze siasa kijana ni sayansi kama sayansi nyingine. Watch dog ndio sayansi ya upinzani kosea nikukosoe Ili nigain popularity. Huu sio uadui ni mfumo tu wa siasa. Shida vijana wa ccm kila kitu mnpanick
πππππWe mwenyewe hapo umeleta unguchiroππ€£
Nenda Kenya hapo jirani yenu kila siku nchi inasonga kwa kejeli, matusi tena kutoka kwa viongozi na waliowai kuwa viongozi lakini halizuii nchi yao kwenda mbele.Huu ndio Unguchiro ninaosema, husomi, unakurupuka ku comment.
Kuna utofauti ya kujenga hoja na kejeli na matusi. Kama unashindwa kuelewa utofauti wa kujenga hoja na matusi basi hiyo siasa yako ni ile siasa ya wanawake kusutana kwenye vikao vyao.
"Hebu tafakari:
Mwanasiasa anasimama mbele ya wafuasi wake na kuanza kuwaponda viongozi wa Serikali kuwa hawana akili au ni wajinga, akidai hawawezi kuleta maendeleo; wakati huo huo, huko anakotoka ameshindwa hata kuwahamasisha na kuwawezesha vijana wa chama chake walau kujiajiri. Katika mazingira kama hayo, ukiitwa 'nguchiro' una sababu gani ya kulalamika?
Ni muhimu kwa wanasiasa kutambua kuwa mjinga huvutiwa na matusi, kejeli, na kila aina ya maneno yaliyojaa upuuzi. Hata hivyo, mtu mjanja na mwerevu huvutwa na hoja zenye mashiko, wala si makelele yasiyo na tija kama ya nguchiro." β Alloyce, P.R.
Kuna mambo machache ya kutafakari ili tusichanganye 'kunoga kwa siasa' na 'ufanisi wa siasa':Nenda Kenya hapo jirani yenu kila siku nchi inasonga kwa kejeli, matusi tena kutoka kwa viongozi na waliowai kuwa viongozi lakini halizuii nchi yao kwenda mbele.
Kwenye ulimwengu wa siasa kejeli, matusi nk ni kitu Cha kawaida sana usipandisne acidi bure.
Samia aliwahi sema huyu Simba kwenye cage kwa kuwa hatulii muiteni Tundu Lissu. Ko Lissu aibuke aseme Samia kanikeji au kanitukana?. Ommy Dimpozi mbele ya Samia aliwaisema dhambi zako abebeswhe Lissu ulisikia Lissu anammahind Ommy.
Jifunze, siasa bila vijembe, kejeli na matusi hainogi. Una mengi ya kujifunza kwenye ulimwengu huu kuhusu political arena approach ili usiwe unapandisha sukari ovyo sio kila kitu kinajengewa hoja vingine ni burudisha Kambi.
Yamkini hutembei hii Tanzania mkuu, kwa wanaotembea hii Tanzania, yapo mengi makubwa ambayo yanaonyesha kodi zinaenda wapi, na mikopo inaenda wapi.Kama ni wendawazimu wasiojali wananchi wanaolipa kodi ili serikali iendelee kuwepo watukanwe tu, hawana maana yeyote ya kuwa hapo walipo. Mijitu milafi na imejaa kiburi ni takataka kwa kweli.
Hasira na kuanzisha ugomvi (Aggression)Naomba sifa za huyo Nguchiro na tabia zake ili nipime mzani kabla sijachangia uzi.
"Hebu tafakari:
Mwanasiasa anasimama mbele ya wafuasi wake na kuanza kuwaponda viongozi wa Serikali kuwa hawana akili au ni wajinga, akidai hawawezi kuleta maendeleo; wakati huo huo, huko anakotoka ameshindwa hata kuwahamasisha na kuwawezesha vijana wa chama chake walau kujiajiri. Katika mazingira kama hayo, ukiitwa 'nguchiro' una sababu gani ya kulalamika?
Ni muhimu kwa wanasiasa kutambua kuwa mjinga huvutiwa na matusi, kejeli, na kila aina ya maneno yaliyojaa upuuzi. Hata hivyo, mtu mjanja na mwerevu huvutwa na hoja zenye mashiko, wala si makelele yasiyo na tija kama ya nguchiro." β Alloyce, P.R.
Ww utakuwa ni mjinga fulani, hoja zinaongelewa nyingi, lakini ubongo wako huwa unachakata kejeli chache kwenye hizo hoja. Kwenye siasa kejeli na kebehi ni sehemu ya kumtoa mshindani wako kwenye reli. Usitegemee wapinzani wa kweli watakusifia kwa lolote, labda uweke ushahidi siku ccm waliwasifia wapinzani.Huu ndio Unguchiro ninaosema, husomi, unakurupuka ku comment.
Kuna utofauti ya kujenga hoja na kejeli na matusi. Kama unashindwa kuelewa utofauti wa kujenga hoja na matusi basi hiyo siasa yako ni ile siasa ya wanawake kusutana kwenye vikao vyao.
Kwa bahati mbaya kwako unasoma na huelewi maana ya kilichoandikwa, hivyo inakupelekea moja kwa moja kuwa Nguchiro kwa sababu unaandika usichoelewa. Hiyo inanipa faida kuendelea na yenye maana kuliko reply yako hapa.Ww utakuwa ni mjinga fulani, hoja zinaongelewa nyingi, lakini ubongo wako huwa unachakata kejeli chache kwenye hizo hoja. Kwenye siasa kejeli na kebehi ni sehemu ya kumtoa mshindani wako kwenye reli. Usitegemee wapinzani wa kweli watakusifia kwa lolote, labda uweke ushahidi siku ccm waliwasifia wapinzani.
Bado unaonyesha wewe ni Nguchiro.Yamkini hutembei hii Tanzania mkuu, kwa wanaotembea hii Tanzania, yapo mengi makubwa ambayo yanaonyesha kodi zinaenda wapi, na mikopo inaenda wapi.π π π π π MATAKO YANA KUWASHA WEWE
Sasa mkuu, si utueleweshe ni wapi hatujakuelewa kuliko kurudia rudia tu kwamba hatuelewi na hatutoi hoja za maana?Kwa bahati mbaya kwako unasoma na huelewi maana ya kilichoandikwa, hivyo inakupelekea moja kwa moja kuwa Nguchiro kwa sababu unaandika usichoelewa. Hiyo inanipa faida kuendelea na yenye maana kuliko reply yako hapa.