Uchanguzi ndani ya CCM mwaka 2015 Nchimbi na Magufuli hawakuwa wanaiva, kumbuka kundi la Nchimbi, Kimbisa, Sofia Simba n.k, sasa leo ona haya: View attachment 462280View attachment 462281
Mbona Lema na Lowasa walikuwa hawaivi!? Mpaka kufikia kumtolea maneno ya kashfa na matusi pale mwembeyanga...Leo hii ni mabesti wakutupa. Acheni UZANDIKI.
Kusema ukweli Nchimbi hakuwa na bifu na Magu
Yeye alikuwa na bifu na Membe na akili za wengi pale mkutanoni walijua zengwe alilopigwa EL ni la kumbeba Membe.
Magu alichomolewa from no where
LAITI UNGEJUA NI NANI KASABAIBISHA MAGUFULI KUWA HAPO,,,, HUWEZI KUWAACHA KIMBISA , SIMBA NA NCHIMBI, ULE UWASI WAO ULIKUWA NI MPANGO MADHUBUTI KUDHIBITI CHAGUO LA MWENYEKITI NA WALIFANIKIWA.