Wanasiasa musiongelee afya za watu bila kuwa na vibali toka kwa madaktari au wagonjwa wenyewe ni kosa kisheria

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,905
Kisheria afya ya mtu au ugonjwa ni siri ya mtu mwenyewe na daktari tu. Ukitaka kuiongelea au kuongelea ugonjwa wake au hali yake lazima upate kibari kwa mgonjwa mwenyewe au daktari wake. Hivi wanasiasa na wengineo mnaopenda kuongelea magonjwa ya watu Na kutangaza vyombo vya habari mnaweza ionyesha jamii vibali mlivyopewa na wagonjwa au madaktari wao Kuwaruhusu muanike magonjwa yao na hali zao vyombo vya habari nk ? Wanasheria wa kutetea Haki za wagonjwa mko wapi?
 
Back
Top Bottom