Wanasiasa malaya wa siasa

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
Kuna wanasiasa Tanzania tangu ulipokuja mfumo wa vyama vingi wamekuwa wakihama kutoka chama hiki hadi kile au wengine walikuwa CCM wakaja upinzani na kuponda sana chama tawala. Baada ya muda wakarejea CCM na kuanza kuponda sana upinzani sasa wanasiasa kama hawa tuwaiteje. Kila wanapohamia huponda walipotoka. Je hawa ni malaya wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom