Wanasiasa kutamani nguo za jeshi ni ishara mbaya

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
13,423
13,935
Iko siku ambayo ama:
1. Mwanasiasa aliyevaa na kunogewa na nguo za jeshi akakataa kuzivua milele, au
2. Mwanajeshi aliyevaa kombati za jeshi naye akatamani awe mwanasiasa.
 
wamesha vaa na kutoa amri za kuhukumu hapo hapo uoni magari yameshaanza kungolewa tairi na pikipiki bila kufuata sheria !
unasubiri kukuwa uyaone!!
 
Back
Top Bottom