mbongokazi
Senior Member
- Dec 31, 2015
- 110
- 23
Kumekuwa na mkanganyiko kuwa watumishi wa umma kustaafu mara watimizapo umri wa miaka 60.Hoja ya msingi inayotajwa hapa ni uwezo wa utendaji kazi kushuka kwa muda huo.
Je, shughuli za siasa hazihitaji utendaji kazi makini kama ule wa watumishi wa umma? Je , siasa imekuwa ni kichaka cha kuwaficha watu ambao utendaji wao wa kazi umeshuka?
Kama ndiyo, tutawezaje kuendelea kama viongozi wetu wa kisiasa utendaji wao umeshuka kwa kuwa wameshafikisha miaka 60?
Kama sivyo, kwanini wanapostaafu shughuli za umma kwa miaka 60 wasistaafu na siasa?
Je, ukweli wa kisayansi unasemaje? Na kitugani kifanyike kurekebisha jambo hili?
Mwana jamvi una maoni gani? Karibu uchangie.