YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,994
Mkataba kati ya wananchi na mbunge huwa ni ahadi zake anazozitoa wakati wa kampeni.Mbunge hupita akijinadi kuwa anayajua matatizo ya jimbo husika kama maji,elimu,afya nk na kuwaahidi kuwa akifika bungeni atawakilisha katika hayo kuhakikisha kero zinatatuliwa.
Wabunge wa UKAWA hakuna hata mmoja aliyejinadi kuwa akienda bungeni atasusa kwa kuwa Tulia NI NAIBU SPIKA,au kwa sababu ya bunge kutoonekana LIVE au atagoma kwa kuwa mbunge wa jimbo fulani lisilo lake katukanwa au kadhalilishwa na spika.
Vigezo wanavyotumia kutoka nje na kugoma vikao vya bunge haviko katika ahadi walizotoa kwa wananchi wameenda kuvitungia bungeni.
Wanasheria mahiri na watetezi wa haki za wapiga kura tunaomba waburuzeni mahakamani wabunge wote waliosusa kuingia bungeni