Wanasheria wa Zanzibar wataka ZEC ifute tamko la kubatilisha uchaguzi

sijamuona mh. mkapa kwenye shughuli ya leo hofu yangu asije akawa yupo visiwani
 
Taratibu tu kitaeleweka.Kubaka si jambo zuri,kubaka demokrasia ni uzalilishaji wa nchi.
 
Inatakiwa kauli hiyo itolewe na mahakama kuu ya znz. Patanoga sana. Itakuwa kama yule mama wa Malawi alipoona anashindwa akabatilisha uchaguzi. Mahakama kuu wakamwambia tangazo lake ni batili hana mamlaka
 
Hivi hii nchi haina wanasheria??????

Waliosoma ndio wanaoiangamiza hii nchi,ndo watu wa kwanza kutudanganya ambao ada hazikutosha kufika waliko wao,kama inafika mahali vyombo vya habari vinapigwa marufuku kuonesha wala kuhoji kinachoendelea Zanzibar na wasomi wamekaa kimya kama vile hakuna sheria ya uhuru wa vyombo vya habari,
 
Hii nchi mpaka watawala waje waone mambo ambayo hawakuwahi kuyaona wala kuyawaza ndo tutaanza kuheshimiana. Otherwise sisi ni wapumbavu na malofa tu kama malofa wengine
 
watabana mwisho wata achaia waliofanya uhaini wa kuibaka demokrasia siku yajaa wakae tayari kuukabili mkono wa ICC.
 
sijamuona mh. mkapa kwenye shughuli ya leo hofu yangu asije akawa yupo visiwani

Mkuu yule mzee ndo aliechafua hali ya hewa..najiuliza sana huu ujasiri anautoa wapi hili zee.. na nadhani bado yuko visiwani..kwa nini Maalim asitamke neno watu wamalize hii ishu.
 
Back
Top Bottom