Mwenzako anataka kujua wewe unamjibu as if hapa tupo kwenye baa ya mnazi. Kuwa serious na mambo, nina imani humu watu wengi ni wasomi. Unaspeculate halafu unajiaminisha kuwa speculations zako ni za kweli unamshambulia mwenzako kwa kejeli. Tazama chini waungwana wamenjibu vyema tu. Jifunze ndugu.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!