Wanasheria na wanaharakati tusaidieni kufungua kesi ya suala la bunge kutooneshwa live!

Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,140
1,871
Yamekuwepo malalamiko na matamko mengi kuhusiana na bunge kutokuonyeshwa full live kwa muda mrefu sasa.

Wabobezi wa sheria, wanaharakati tusaidieni jamani kufungua kesi ya msingi mahakamani kuhusu jambo hili ili tupate haki hii ya msingi.

Kwanini tuendelee kulalamika nanyi mpo?

Nawasilisha
 
Kwanini? tuendelee kulalamika nanyi mpo?

Nawasilisha
Mkuu Subiri watakuja usikate tamaaa. mie mwanasayansi tuu.
 
mh.. watu sio wajinga kama unavyofikiria ndo maana watu wamepiga kimya kuangalia bunge live ni prevellege to
 
Watusaidie kwanza kufungua kesi ya kufuta posho za makalio ndo tutawaelewa
 
Mimi nadhani wakusaidie wewe ndugu yangu kupata ajira japo ya kupika chai, Tv haikusadii kitu
 
Mimi namsahangaa sana JPM.Alipokuwa anaomba kura aliomba kwa machozi,leo tunaomba tuonyeshwe bunge live anatuchunua.Haipendezi hata kidogo.
Yamekuwepo malalamiko na matamko mengi kuhusiana na bunge kutokuonyeshwa full live kwa muda mrefu sasa.

Wabobezi wa sheria, wanaharakati tusaidieni jamani kufungua kesi ya msingi mahakamani kuhusu jambo hili ili tupate haki hii ya msingi.

Kwanini tuendelee kulalamika nanyi mpo?

Nawasilisha
 
Yamekuwepo malalamiko na matamko mengi kuhusiana na bunge kutokuonyeshwa full live kwa muda mrefu sasa.

Wabobezi wa sheria, wanaharakati tusaidieni jamani kufungua kesi ya msingi mahakamani kuhusu jambo hili ili tupate haki hii ya msingi.

Kwanini tuendelee kulalamika nanyi mpo?

Nawasilisha
Siungi mkono hoja ya kwenda mahakamani, kwa sababu hata ibara ya 18 (b) ya katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania haitoi ulazima wa kupata habari wakati huohuo wakati habari inatolewa "LIVE" na ikiwa mahakama ikasema hakuna haki ya bunge kuonyeshwa LIVE, huo utakuwa ni ushindi mkubwa sana kwa serikali ya ccm hasa katika kutetea hoja yao ya kubana matumizi. na kauli ya TUHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA ITATAWALA.
 
Mwanaume mzima unaomba kusaidiwa ktk jambo dogo km hilo! Kweli zilipo mahakama hupafahamu?Aibu!
Anko sina nia mbaya ispokua jambo hili lipo kisheria zaidi ndo maana nikapaza sauti ili kabla sijaenda court kufungua kesi ya msingi nipate michango yenu wadau.
 
Siungi mkono hoja ya kwenda mahakamani, kwa sababu hata ibara ya 18 (b) ya katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania haitoi ulazima wa kupata habari wakati huohuo wakati habari inatolewa "LIVE" na ikiwa mahakama ikasema hakuna haki ya bunge kuonyeshwa LIVE, huo utakuwa ni ushindi mkubwa sana kwa serikali ya ccm hasa katika kutetea hoja yao ya kubana matumizi. na kauli ya TUHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA ITATAWALA.
Basi anko mimi nafikiri ni wakati sasa wa kuachana na hii mada, na tusihi wabunge wetu wajielekeze kuibana, kuisimamia serikali ili kuleta maendeleo majimboni mwetu.
 
Back
Top Bottom