Wanasheria msikubali TLS ikanajisiwa

Iwapo wanajeshi wanapewa ukuu Wa Wilaya na Mikoa, iwapo mwanajeshi anaongiza idara nyeti ya CCM.

Iwapo naibu mwanasheria mkuu Wa serikali anateuliwa kuwa mbunge kwa tiketi ya CCM

Iwapo naibu mwanasheria mkuu toka mhimili uliojichimbua chini zaidi ya yote anakwenda kuongoza mhimili Wa bunge la wananchi

Iwapo hapo ndipo tumefikishwa naona acha tuendelee tu.

Tunasubiria na uchaguzi Wa chama cha wafanyakazi, chama cha walimu napo tuweke majembe ndo nchi itasimama vizuri
 
Stolla,Frank na.wasongo hawa wote ni Makada wa CCM tena mmoja aligombea mpaka nafasi ya urais.

Pole.Lissu ni Mtanzania anayohaki sawa na kada wa CCM
Suala sio UKADA, au kuwahi kugombea nafasi Fulani..., hoja ni kuwa na nafasi ya UONGOZI ndani ya chama.
Nani kati ya hao uliowataja yuko kwenye safu ya viongozi wa KITAIFA kama Lissu alivo CDM...!??
 
Memba wa TLS naona mwaka huu wanaona kweli siasa inewaingilia, lazima inawachosha wengi wao.

Wamenishangaza why wengine wasio kwenye vyama huku na kule kea media kila leo, hawajawania cheo hicho naamini na haya yote mtu angepita bila tabu kwa sasa.
WE MAMA TLS ILIKUWEPO KABLA HATA TANU HAIJANZISHWA....EBOOO

OVA
 
Zitto akiwa mwenyekiti wa PAC alikopeshwa pesa na NSSF shirika analopaswa kukagua mahesabu take tume ya maadili imekaa kimya wanasiasa wetu hawaaminiki wako kwa ajili ya kuwaibia wananchi
 
Suala sio UKADA, au kuwahi kugombea nafasi Fulani..., hoja ni kuwa na nafasi ya UONGOZI ndani ya chama.
Nani kati ya hao uliowataja yuko kwenye safu ya viongozi wa KITAIFA kama Lissu alivo CDM...!??

Kwenye Katiba yao imeelezwa kwamba ukiwa kwenye nafasi fulani hugombei uongozi TLS??Kama hapana basi funga tu mdomo.Mawakili wana AKILI ndiyo sababu wameamua walichoamua.

Tubaki watanzania mazuzu kuchagua Ma....z...........zu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…