Wanasheria msikubali TLS ikanajisiwa

Mbona serikali inaongozwa na CCM na hakuna tatizo.
Pia maRAS ma DAS nk ni makada
Hahahahahaaaaaaaah
Kaaaaz kwelikweli
Ina maana hujui kama serikali itaongozwa na Chama kilichoshinda!??
Hivi hujui kwamba Serikali itatekeleza ilani ya Chama kilichoshinda!??

Kwa upande wa TLS hakuna mgombea wa Chama au anayewakilisha Chama na kimsingi TLS haipaswi kujinasibisha na Vyama au Serikali ili iweze kufanya kazi kwa Weledi. Bila kuegemea kokote
 
Wamesha amua. Usiemtaka kajaaaa huko.
 
Hivi kabla ya lisu raisi wa TLS alikua nani vile
 
Huu ujuha washirikishe mafisiem wenzako. Mkisikia jina la Tundu Lissu haja kubwa zinawatoka ovyo.
 
wamemchagua sasa unasemaje????
 
Memba wa TLS naona mwaka huu wanaona kweli siasa inewaingilia, lazima inawachosha wengi wao.

Wamenishangaza why wengine wasio kwenye vyama huku na kule kea media kila leo, hawajawania cheo hicho naamini na haya yote mtu angepita bila tabu kwa sasa.
Hiv hao wagombea waliopita walikuwa c wanasiasa... walikuwa hawana chama?
 
Rais wa TLS ni Mh. Tundu Antipas Lissu....sasa kama mko tayari nendeni mahakamani mkafute matokeo maana naona kama mnatupotezea mood ya kurudisha Taifa katika misingi ya utawala wa sheria. Tunaitaka serikali hii ya Mhima ifuate utawala wa sheria mengine badae
 
Stolla,Frank na.wasongo hawa wote ni Makada wa CCM tena mmoja aligombea mpaka nafasi ya urais.

Pole.Lissu ni Mtanzania anayohaki sawa na kada wa CCM
 
Ndo kimeshakatikia hicho, toa povu pande zote mbili za alimentary canal.. Lissu ndo Raisi wa kuchaguliwa wa TLS..
[emoji111]
 
Watanzania naona ccm imewafanya mbumbumbu ndiyo maana mnakuwa na mawazo ya ccm kutawala milele. Mbona wakurugenzi wa halmashauri ni maccm? Na wewe mleta mada hulamikii hilo!
 
Acha kutoa povu.Tangu hotuba ya kwanza ya Mkuu wapinzani aliwaona kama mavi siyo kwa ajili ya TL. Usiwadanganye watu.
Mshauri kwanza mkuu abadilike.
 
Michango ya tundu lisu bungeni asilimia 90 huegemea kwenye sheria,pia wewe waelewa kuwa nchi sasa haiongozwi kwa misingi ya katiba na sheria na pia wewe waelewa kuwa moja ya majukumu muhimu ya TLS ni kusimamia misingi ya sheria na haki za binadamu.Hivyo naamini Lisu mahali pake sahihi ni TLS na si kweli kwamba ataipotosha taasisi hiyo kwani kazi aliyoizoea Lisu ni kutetea haki na misingi ya sheria na kusema ukweli bila kupepesa anaposimamia haki na sheria ,hata hiyo wanayosema kuwa ana vijembe na dharau si sahihi bali ni ubobezi wake ktk masuala ya sheria ndiyo yanayomfanya aongee kwa kujiamini kiasi cha wasioelewa anachosimamia kufikiri anadharau.Kiufupi Lisu amekwenda TLS wakati sahihi na hajaenda kupambana na serikali bali kupambana na wote wanaokwenda kinyume na katiba na sheria za nchi na kuwaelekeza njia sahihi ya kuongoza kwa kufuata katiba na sheria. TLS ni taasisi wala haiwezi kumwonea yeyote au kumpendelea yeyote sababu ya Lisu anayesema hivi arejee teuzi za makada wa ccm kwenye nafasi za serikali kama DC,DED,RAS,DAS,mwanasheria mkuu wa serikali, mkuu wa majeshi,IGP,Jaji mkuu nk kisha aache porojo
 
Nasema niliyoyasema hapo juu, Lissu ataishia kubwabwaja lakini hatopewa hadhi stahili kusikilizwa kwa uzito waliostahili TLS. Tunakoelekea Diamond Platnums atasikilizwa kuliko matamko ya TLS.
What's TLS by the way. Kama Binge limedhibitiwa, ka Mahakama imedhibitiwa wewe unafikiri TLS ni NINI, wanamamlaka gani kisheria
 
usiwe na mawazo finyu.
extend your brain usipende kuwa bendera inayotii upepo wa ccm.
watanzania mabadiriko yataletwa na sisi wenyewe muda wa kuchezewa kama midori umepita
 
Amechaguliwa sasa koroga sumu unywe ufe kabisa. Salam mpelekee mhanga wa sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…