badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,449
- 2,820
Kwakuwa hakuna mwanasheria yoyote akiye taka kujitokeza naomba niweke utaratibu unaopaswa kufanyika. Kwenye sheria hasa mambo yanahusiqna na haki za wengi au wachache kuna kitu kinaitwa Writs. Writs ni kitu au amri inayotolewa na taasisi yenye mamlaka hasa ya kiserikali.
Hizi Writs zipo 4 ambazo Harbeas Corpus, mandamus, certiorani na declaration. Kwa swala ambalo lipo hapa mwanasheria au mtu yoyote anayetaka kufungua shauri anapaswa kufungua shauri kwa Writs ya Certionari kuiomba mahakama kurejea maamuzi ya serikali na kuyazuia kuwa ni hamramu.