Poleni sana kwa hilo...
Kabla ya kutoa ushauri ningependa kujiridhisha kuhusiana na aina ya mashtaka aliyofunguliwa nduguyo, ni ya madai au ya jinai! Uweke ile title ya kesi, mfano..shauri la madai namba...la mwaka...
Au kesi ya jinai namba.... Namna hiyo
Na kama unaweza ungeweka na nakala ya hukumu (unaweza ni-pm kama hupendi iwe wazi )
Hapo tunaweza kuanzia kutoa ushauri.