Wanasema et kafa

duuh wanasiasa mbona mnaua watu, madaraka yote yatapita utakufa unaacha wengine wanatawala. Haina haja kuua kisa siasa ni heri wangemfunga tu. Mandela alikaa jela 21 yr, vipi kama angeuawa? Tunapoteza vijana wenye uwezo wa kufanya mambo mazuri baadae
 
HABARI HIZO ZA FACEBOOK NI ZA UONGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…