Wanasayansi wa Shirika la Afya (WHO) wawasili Wuhan kuchunguza asili ya Virusi vya Corona

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Timu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) imewasili katika Jiji la Wuhan Nchini China ili kuanza uchunguzi wa asili ya Ugonjwa wa COVID19 ambao umeathiri watu zaidi ya Milioni 87 Ulimwenguni kote

Hatua hiyo inakuja baada ya miezi kadhaa ya mazungumzo baina la WHO na Beijing. Timu yenye Wanasayansi 10 inatarajiwa kufanya mahojiano na watu kutoka Taasisi za Utafiti, Hospitali na Soko ambalo lilihusishwa na mlipuko

Mapema mwezi huu, WHO ilisema Watafiti wake wamenyimwa ruhusa ya kuingia China lakini Beijing ilitoa ufafanuzi ikisema, ni kutoelewana na mipango ya uchunguzi huo bado ilikuwa ikijadiliwa

====

A World Health Organization (WHO) team has arrived in the Chinese city of Wuhan to start its investigation into the origins of the Covid-19 pandemic.

The long-awaited probe comes after months of negotiations between the WHO and Beijing.

A group of 10 scientists is set to interview people from research institutes, hospitals and the seafood market linked to the initial outbreak.

Covid-19 was first detected in Wuhan in late 2019.

The team's arrival on Thursday morning coincides with a resurgence of new coronavirus cases in northern China, while life in Wuhan is relatively back to normal.

They will undergo two weeks of quarantine before beginning their research, which will rely upon samples and evidence provided by Chinese officials.

The probe, which aims to investigate the animal origin of the pandemic, looks set to begin after some initial hiccups.

Earlier this month the WHO said its investigators were denied entry into China after one member of the team was turned back and another got stuck in transit. But Beijing said it was a misunderstanding and that arrangements for the investigation were still in discussion.

China has been saying for months that the outbreak did not originate there.

Professor Dale Fisher, chair of the global outbreak and response unit at the WHO, told the BBC that he hoped the world would consider this a scientific visit. "It's not about politics or blame but getting to the bottom of a scientific question," he said.

Prof Fisher added that most scientists believed that the virus was a "natural event".

On Thursday China reported its first death from Covid-19 in eight months.

The country has largely brought the virus under control through quick mass testing, stringent lockdowns and tight travel restrictions.

But new cases have been resurfacing in recent weeks, mainly in northern Hebei province surrounding Beijing and Heilongjiang province in the northeast.
 
Wenye Kazi zao wametumwa kwa mwamvuli wa afya lakini macho madogo washastukia mpango mzima, so tayari macho madogo washawaandalia mazingira wageni wao.
 
China ilitengeneza corona
Nilisoma article fulani kuwa haikuwa planed, isipokuwa wakati wanatengeneza 5G zile rays za hiyo technolojia zikikutana na mwili wa binadamu ndizo zinasababisha kutokea kwa mdudu wa Corona na kwamba what so called corona virus sio virus ni Bacteria. Italy ndo inasemekana wame-come up na hiyo finding!
 
Nilisoma article fulani kuwa haikuwa planed, isipokuwa wakati wanatengeneza 5G zile rays za hiyo technolojia zikikutana na mwili wa binadamu ndizo zinasababisha kutokea kwa mdudu wa Corona na kwamba what so called corona virus sio virus ni Bacteria....Italy ndo inasemekana wame-come up na hiyo finding!!!!
Kwahiyo hapa nyumbani kwangu, muze- Rukwa bondeni nipotezee maana huyo FAIVUJII hawezi kushuka huku bondeni🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
Back
Top Bottom