LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 28,532 Reaction score 44,760 Jan 4, 2016 #1 Nadharia nyingi za kisayansi zimejengwa katika misingi ya wanasayansi wa Kigiriki(Uyunani ya kale) Sasa mbona Ugiriki ya sasa haiwiki kama ya zamani?(wakumbukeni akina PLATO na ARISTOTLE)
Nadharia nyingi za kisayansi zimejengwa katika misingi ya wanasayansi wa Kigiriki(Uyunani ya kale) Sasa mbona Ugiriki ya sasa haiwiki kama ya zamani?(wakumbukeni akina PLATO na ARISTOTLE)
Kamkuki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 1,957 Reaction score 1,431 Jan 14, 2016 #2 Ngoja waje!