Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,073
Akiwataja viongozi mbalimbali leo, Gerson Msigwa ameanza kama ifuatavyo
Honorable Prime Minister of the United Republic of Tanzania (badala ya RIGHT honourable......)
Honourable ambassadors (badala ya Their excellencies ambassadors)
Na wengine wengi ambao na hisi aliwakosea.....
Styles of address ni kitu cha muhimu sana katika issue nzima ya diplomacy. Naombeni muongozo jamani.