Wanapotisha budget kwa style hii

Inasikitisha mno,kila mbunge yupo jimboni kwake kudanganya wadanganyika....
 
Ingefaa tupate takwimu za mahudhurio na michango ya wabhnge humo ndan..... Ili aakija vijjn mwez wa 10 tupate pa kuwakamatia
 
Hahahhaa Wabunge wa CCM wamechoka kutetea wasiyoweza kuyatetea, wamekimbilia majimboni! Juzi kati hapa walikau wakiaga Bunge na kuwaomba wananchi wawapokee tena hapo October
 
Huyo hapo naona anaongea kama chizi vile. Unawezaje kuongea peke yako bungeni?
 
Ingefaa tupate takwimu za mahudhurio na michango ya wabhnge humo ndan..... Ili aakija vijjn mwez wa 10 tupate pa kuwakamatia

Komaa na mbunge wako. Mi najua Mnyika ananiwakilisha vema bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…