Nadhani 'kula bata' ni lugha ya picha.
Kama situmii pesa manake sili bata?No zoezi zima la kutumia pesa kwa nia yaku jufurahisha nafsi sio kutumia huku BP inapanda au kushuka
hapo sasa inategemea na mstareheka na starehe anazozipenda.
Kwahiyo kuna 'situations' zinakukuta unatoka na washikaji na hujihesabii kama ulikuwa unakula bata?hapo sasa inategemea na mstareheka na starehe anazozipenda.
Mfano mimi starehe yangu ni kula misosi adimu.
Swali zuri.Na mimi naomba kuuliza,hivi kugegedana nako ni kula bata???
Inawezekana wengine tukawa hatuli bata kabisaa hapa duniani,.
Inategemea. Km n mpenzi wako hapo huli bata ila km n MTU wa kubadilisha totoz ,hapo tunamuhesabia anakula bata na totozNa mimi naomba kuuliza,hivi kugegedana nako ni kula bata???
Kwanini kwa totoz wengine ionekane bata,kwa mpenzi/mchumba/mke/mume ionekane kawaida..Inategemea. Km n mpenzi wako hapo huli bata ila km n MTU wa kubadilisha totoz ,hapo tunamuhesabia anakula bata na totoz
From profile picture to proper future
Wanamaanishs " butter" ana siagi kwa kiswahili. Kula raha. # Mkate na siagi # Nchi ya ahadi waliahidiwa watakuwa wanakula mkate siagi maziwa na asaliInawezekana sielewi wanaposema kula bata wanakuwa wanamaanisha nini haswa.
Je, ni kukutana na marafiki na kupiga soga? Kunywa pombe? Kula nyama choma? Kuogelea ufukweni au bwawa maalumu? Kutembelea vivutio? Kulala? Kuangalia michezo? Mitoko ya kifamilia?
Je, mimi ninayelala badala ya kutoka kama wengine nahesabika kama nakula bata? Au nikiwa 'outing' nikaishia kunywa soda na kupiga soga na washikaji nahesabika kama nakula bata?
Je, kuna 'standards' na 'criteria' za kusema mtu fulani anakula kula bata au la?
Hebu tusemezane, ukisikia mtu anakula bata unaelewa nini? Au unaposema unakula bata huwa unafanya nini?
Hii dhana inanichanganya kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula PapaNa mimi naomba kuuliza,hivi kugegedana nako ni kula bata???