Mkuu jana somebody aligoma kupanda Basi kubwa la kutoka Songea hadi Dodoma directly. "FEO"
Yeye akajipandia Vi-Coaster vidogo akaunga unga, Akashuka Njombe akapanda ya Iringa, Ndipo akapanda tena ya Dodoma.
Reason: Nauli inapungua 2000 ukiunga unga, na kwamba eti hizo gari kubwa ni za Matajiri.
Infact alisafiri kwa shida - kubanana, akachelewa kufika, Tena akafika simu imezima chaji wakati angepanda basi kubwa angeichaji na simu yake.
Watu wachache sana wanaweza kua "OPTIMISTIC" Kwenye hii sayari - just 1%.