Wanapokuwa peke yao !

dah umenikumbusha mbali sana aisee,nimesoma girls school
 
Hebu tusimulie yale yenye nafuu Mtende

dah mi nakumbuka kipindi cha joto tulikua tunavua nguo darasani tunabaki na chupi na bra, halafu tunabana mlango, mwalimu akija lazima agonge,then tunavaa haraka ndo tunamfungulia mlango pindi linaendelea
 
Hahahahaaaa I wish I wish I wish...!!! Ningekuwa mwalimu wa biology shuleni kwenyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…