samahani niwanafunzi au wahudumu wa bar...?
Nimeamini huwa wakizidiwa wanapata kale kaugonjwa ka kuchekacheka!
Siku hizi ni ngumu kutofautisha mpaka uwakute eneo husika manake hata daftari zinawekwa kwenye mikoba ya vipodozi
Heshima kwako kiongozi
tupo pamoja kaka....nipe mpya!
samahani niwanafunzi au wahudumu wa bar...?
Hahahaha umenifurahisha sana
Aaah kweli kumbe ndo maana baba dhao wanakata miuno bungeni