Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
Mie kuna kovu moja ninalo mpaka sasa hivi nilichomwa na moto
hahahahaaaaaaa hiyo kali aiseeeeeHadi nilikuwa nina watoto halafu watoto wenyewe ni miti na viti sasa ukikuta nawagombeza ni balaa
Hahahaha ila mie nilikuwa najipikilisha balaaa.
wanadimbadimba...
Duh hilo neno lilikua limetoweka kabisa kwenye memory yangu, nashukuru kwa kusaidia kurudisha mkuu!
si baada ya wewe kuhama kule mtaani kwetu...nilikutafuta hadi kwenye mafesibuku lakini nikaambulia patupu...
sasa hivi ningekuwa nala ile misosi yako loh!!!
Kweli moto huachaga alama ilokoleea ! Baby kovu lipo wapi?
Na sasa hivi napika misosi balaaa.Yani ni zaidi ya utotoni.....lol.
Nina mwili mbaya hata nikipata kialama kidogo hakitoki haraka.Halafu hiyo baby sijaielewa maana ni mtu mzima atiii??.....lol
haya maneno yako yafaa nini kama nisipopata mwaliko wa lunch...!!!
Kama ni mwili mbaya hapo siiAmini !! kbs, zipo cream za kuvanish/kupoteza ALAMA/KOVU.
Mmmmh, kwani kutunukiwa taji la Ubaby lina umri ?!! Heshima unapewa uridhike na kucheka ktk dunia yako Baby !
Too bad mwili wangu huwa siupaki cream
apo imposibo uishi bila cream,moisture mmmh labda una mloo maalum unafidia glossy skin!
Ok wewe tena usijali weekend hii nitakupikia chakula kimoja hicho balaaa.Utanijulisha ni lini utakuwa free