Wanaozamia “chumvini” hii inawahusu

Wanaozamia “chumvini” hii inawahusu

Kwaiyo ndy unataka denda tena, me basi maana
Basi usiruhusu kabisa ifahamike mkataba wa kazi ni kazi moja tu hizo extras hazipo, usiwe kama mwanasiasa kura unataka ila maendeleo hutaki kupeleka jimboni.
 
Mwili wote wa binadamu umetapakaa microbes, hata ukioga mara kumi kwa siku , wale waliopo kwenye uke ni hatari zaidi kwa sababu mwanamke anaweza kuwa na STIs bila kuonyesha dalili zote zote. Kuna virus vya papilloma ( HPV) viko vizuri maeneo hayo, inapendeza zaidi kwa wanaotafuta cancer za koo.
 
Migration ya normal flora kutoka habitation yao ya asili inaweza kuwafanya wageuka kuwa pathogenic huko wanakoenda ku-colonize.

Plasmodium falciparum ndani ya Female Anopheles hana madhara. Akihamia kwenye binadamu anachana chana red cells na kusababisha Malaria

your theory is well founded
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom