Inategemea unataka kurecover data za namna gani na kutoka katika device ya aina gani... Vitu kama PDA's, Smart Phones, Servers, Na Other digital formats zinahitaji tools mahiri na hazipatikani kiholela mpaka uende kwa wataalamu wahusika, kwani leseni tu za hizo softwares zinazotumika zinauzwa malaki na mamilioni ya dola...
Kwa msaada zaidi nenda Barclays Building Ulizia The Data People, Wanafanya hizo kazi Kimahiri zaidi.
Kama Ni kurudisha tu simple PDF's na .Doc files au Images, yes unaweza ukafanya mwenyewe... Wasiliana na Mdau hapo juu atakupa info zaidi.
Kama Unahitaji msaada wa kitaalamu zaidi NiPM.