Wanaovaa makoti na kupiga picha na marefa na makapteni kwenye mechi za Ligi Kuu (VPL) ni akina nani?

man dunga

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
3,216
5,566
Kila mechi kwenye ligi kuu yetu unaona mtu aliyevalia koti lake au shati lake la kitenge anaingia na timu uwanjani na kupiga picha na marefa na makapteni.

Huu utaratibu tumeoutoa wapi au sisi ndio wa kwanza maana huko duniani (Ulaya) sijawahi kuona. Kazi yao ni ipi?

FB_IMG_1583069103642.jpg
FB_IMG_1583069123862.jpg
FB_IMG_1583069133806.jpg
FB_IMG_1583069123862.jpg
FB_IMG_1583069103642.jpg
 
Back
Top Bottom