Wanaovaa hovyo Vyuoni Kudhibitiwa.

Wanaovaa hovyo Vyuoni Kudhibitiwa.

Tena wengine wanaovaa hizo nguo za ajabu ajabu wangekuwa wanajiangalia vizuri kwenye kioo hata wasingevaa, unakuta mtu anatembea kama anapika sarakasi miguu juu kichwa chini jinsi miguu ilivyo pencil. Wengine matumbo hatari tupu kisha wanavaa vinguo vya kubana. Jieshimuni wadada, sisi wanaume hatuvutiwi na na wasichana wanaovaa ovyo, bali tunachukuliwa kama cheap girls.
 
Nina mashaka na CV na IQ ya huyo prof. nyuki. Chuokikuu ni kitu cha kimataifa, sasa mwanafunzi va kimataifa eg. from america utamlazimishaje sera zako za mavazi ya utamaduni wako wakati na yeye ana wa kwake? ndo mana vyuo vyetu vingi vinakosa sifa ya kuwa vya kimataifa.

Acha habari yako wewe. Kwa hiyo mtu kukumbusha hawa watoto wa kike wanaovaa kama wanaenda mitaa ya Ohio pale mjini kati wavae vizuri kwa kujiheshimu ndo imekuwa ana IQ ndogo sio? Ebu onyesha hiyo IQ yako kubwa hapa tuione.
 
Ahaaa,watuachie Burudani zetu na fahari ya macho jamani,mbona wanataka kutuondelea kiondoa stress chetu jamani. Upo kwenye Lecture Kitoto kizuri kinakatiza hips zinaita huko nyuma mrindimo ndio usiseme raaaha kabisa,au upo nae pembeni mapaja yapo nje huku michirizi ikikuita raaaahaa ilioje jamani. Acheni choyo,acheni tuone na kusifia kazi ya Muumba jamani. Napinga huu muswada kwa asilimia mia tatu.
 
Tatizo lipo kwenye Mfumo wetu wa Elimu Maana Vijana wengi siku hz ni watukutu,wengi husoma kijanja janja kwa kuiba Mitihani,kukariri,nyenzo,nk hatuna wasomi wa Ukweli 60% wasomi ni Feki , ktk Mfumo huu ndipo pamezalishwa Wanafunzi wasiojitambua wapenda Mavazi ya ajabu ajabu,mavazi mitego,ni vigumu kwa sasa Maana Tabia imeshakuwa Sugu mno . Njia pekee ya kumaliza Tatizo ni kwashirikisha USAID ,Serikali za mitaa,wajumbe wa nyumba kumi,wakuu wa mashule,Vyuo,taasisi zote wavalie njuga kwa pamoja kinyume na hapo Profesa atajisumbua kupoteza mda.

Wakiamua inawezkana mkuu kwan hata IFM walishaimplement iyo sheria toka january na wako strict na watu washa adopt.swala ni kua strict tuu.
 
Nina mashaka na CV na IQ ya huyo prof. nyuki. Chuokikuu ni kitu cha kimataifa, sasa mwanafunzi va kimataifa eg. from america utamlazimishaje sera zako za mavazi ya utamaduni wako wakati na yeye ana wa kwake? ndo mana vyuo vyetu vingi vinakosa sifa ya kuwa vya kimataifa.

unakosea mkuu kusema hivyo hata wao wanautaratibu wao ukienda kusoma nje lazima ufuate utamaduni wao ikiwemo lugha nk
sasa hili suala la kuvaa nusu uchi likiachwa hiyotutaaika km mataifa mengine yalivyoharibika tunatakiwa tuwe unique na wao wajifunze kitu kutoka kwetu mbona wakija wanafurahia mavazi yetu na wanavaa!
 
Ni Tz pekee ambapo Viongozi wa juu wanaogopa kuwakemea wale wavaaji nguo zisizozingatia maadili Nchi zingine Viongozi wamethubutu Mfano nenda Rwanda au Uganda utaona .

Ndugu tupo pamoja kabisa, leo hii viongozi wetu wanashindwa kukemea mambo mabaya yanayofanywa katika jamii unategemea nini? Sera ndiyo itakayo tatuta hali hii? Tusidanganyane jamani, tunaitaji maadili kuanzia ktk viongozi wetu, kwani familia zimepalaganyika sana, hakuna hatakaye pona hapo.

Leo hii watoto wanaoishi ktk mazingira magumu wanazidi kuongezeka lakini sioni mkakati wowote kama taifa kuondokana na hali hii. Hayati Lucky Dube aliimba watoto wa mitaani (Children in the Streets), nani anawajali kama viongozi wanakaa kimya? Je atuoni tunaandaa taifa ambalo ni hatari ktk maadili yetu?
 
mbona kwenye swala la wanafunzi kucheleweshewa pesa yao ya field hajaongelea,angetumia uprofesa wake kuishauri serikali itumie njia gani kutatua kero za wanafunzi

Uvaaji wa Hovyo hovyo na Pesa za field vina Uhusiano gani? Kwani anayedai pesa lazima avae Kimin au Mlegezo pindi pesa ukichelewa ?
 
Bigup Prof. Usomi ni pamoja na kujitambua, darasani sio chumbani, disco au ukumbi was usiku. Wadhibitiwe!!

Prof yupo peke yake Wabunge wapo busy na Yao , maadili ya watanzania yapo ICU Hakuna mwangalizi kwa sasa.
 
inasemekana Wavaa Milegezo na vimini ndio wapiga kura mahili Viongozi wanaogopa kuwagusa kwa kuogopa kukosa kura hata Rais wa mwisho kukemea wavunja maadali alikuwa Nyerere peke yake.
 
Nina mashaka na CV na IQ ya huyo prof. nyuki. Chuokikuu ni kitu cha kimataifa, sasa mwanafunzi va kimataifa eg. from america utamlazimishaje sera zako za mavazi ya utamaduni wako wakati na yeye ana wa kwake? ndo mana vyuo vyetu vingi vinakosa sifa ya kuwa vya kimataifa.

Kweli kabisa mkuu, yani Prof andhani chuo ni kwa ajili ya wabongo tu
 
Back
Top Bottom