Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Hata mimi nilijaribu lakini nikaona ni kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Wote wale wale mimi nilijaribu sana mwisho wa siku nikaona ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.baada ya forever living ikaja nyingine inaitwa trevo hivi na hii inatofauti kweli na forever living?
Kaka hao trevo walininywesha mjuice wao duh kidogo nizimiebaada ya forever living ikaja nyingine inaitwa trevo hivi na hii inatofauti kweli na forever living?
Timiza kwanza zako,familia yako,ndoto za ndugu jamaa na marafiki zako,ukishamaliza hapo ndo ututafute sie watu baki.Mm ni member wa Alliance In motion Global mwenye haja ya kutimiza ndoto zake aje pm
Baada ya kugundua hilo nimeamua kuleft.....! Niliahdiwa mabilion hata lak moja yao cjaitia machoni.....! Wale jamaa wanaweza kukufunga akili huku miguu inatembea....! Aloooooo leo umenifumbua macho.Timiza kwanza zako,familia yako,ndoto za ndugu jamaa na marafiki zako,ukishamaliza hapo ndo ututafute sie watu baki.
Wachowakamatia watu akili ni kwenye zile ushuhuda wa watu waliotajirika kwa biashara hyo wanaowaleta kwenye semina.mkuu hata siku moja katika dunia hii usije ukaamini fursa za kutangaziwa na kunadiwa,if it sounds too good to be true then it certainly aint tru.network marketing is a fad,a scheme.Baada ya kugundua hilo nimeamua kuleft.....! Niliahdiwa mabilion hata lak moja yao cjaitia machoni.....! Wale jamaa wanaweza kukufunga akili huku miguu inatembea....! Aloooooo leo umenifumbua macho.
Bidhaa zao zinapatikana maduka yapi?Mkuu, ngoja waje wenyewe maana hata mimi nilitaka kuingia mkenge nianze lakini nikashtuka. Halafu hata bidhaa zenyewe binafsi naona ni zengwe tu maana hazijawahi kunisaidia
Mm ni member wa Alliance In motion Global mwenye haja ya kutimiza ndoto zake aje pm