Wanaounganisha watu na ajira...

Wanaounganisha watu na ajira...

Status
Not open for further replies.

Chimdia

Senior Member
Joined
May 19, 2017
Posts
172
Reaction score
173
Habari,
Katika mihangaiko yangu ya kutafuta ajira nimekutana na watu wanajiita mawakala wa ajira (kitu kama hicho).. yaani unawalipa na wanakuunganisha na ajira. Nimesikia kua hawa watu ni matapeli, je kuna walio wakweli? kuna mtu alishawai kutana nao na akapatiwa kweli kazi?
 
Umekutana nao wap?
 
wanapost nafasi za kazi, ukiwatafuta ndo wanakueleza kua zipo nafasi ila unatakiwa ulipe hela fulani kwa ajili ya kuprocess hiyo ajira.
Usije ukajaribu hiyo ela kama huna kazi nayo naomba unitumie nkanywe juice..
Kama umekutana nao instagram jiulize kwann ana switch off comment
 
kumbe ushakutana nao 🙂🙂... kuna mmoja instagram nae anaswitch off comments... anataka atumie 8000 tu eti ya usafiri.
 
Na wewe ukampa hiyo ela? Fanya mpango na mimi unitumie nusu ya hiyo basi...
Ana switch off coment uli waliwahi kutapeliwa wasicomment
Na wanabadilisha account zao kila siku
 
Habari,
Katika mihangaiko yangu ya kutafuta ajira nimekutana na watu wanajiita mawakala wa ajira (kitu kama hicho).. yaani unawalipa na wanakuunganisha na ajira. Nimesikia kua hawa watu ni matapeli, je kuna walio wakweli? kuna mtu alishawai kutana nao na akapatiwa kweli kazi?
Inategemea unataka kazi gani.
 
Kuna kampuni inaitwa Bravo Job Agency ofisi yao ipo Chang'ombe mitaa ya maduka mawili.
Vyema kama unahitaji watu makini wa kukutafutia kazi waone hawa jamaa wanafanya kazi kiofisi na wapo tangu miaka ya nyuma.
 
Na wewe ukampa hiyo ela? Fanya mpango na mimi unitumie nusu ya hiyo basi...
Ana switch off coment uli waliwahi kutapeliwa wasicomment
Na wanabadilisha account zao kila siku
sijawai toa... ila ni kwasababu am broke... ningekua nayo mbona ningeshatapeliwa sanaaaaa
 
Kuna kampuni inaitwa Bravo Job Agency ofisi yao ipo Chang'ombe mitaa ya maduka mawili.
Vyema kama unahitaji watu makini wa kukutafutia kazi waone hawa jamaa wanafanya kazi kiofisi na wapo tangu miaka ya nyuma.

asante mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom