Wanaotumia Facebook ya bure Tigo

Wanaotumia Facebook ya bure Tigo

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Habari ndo hiii
 
Attachments

  • 1444322320011.jpg
    1444322320011.jpg
    46.2 KB · Views: 1,363
Kunani tarehe 15?Maana humu JF pia mods wataongezwa hiyo siku.
 
Kubana kila sehemu. Kweli HapaKaziTu. Au HapaGizaTu mbona sielewi.
 
Uchaguzi mnashinda mno Jf sasa wamestukia kupanda dau ili habari zisisambae kwa kasi, kweli Magufuli hana huruma na watz nazidi kumchukia Mimi na kijiji change wote hatumpi kura zetu ng'ooooo, aende bagamoyo akasimamie ujenzi kwa best yake
 
Wafute kabisa waandike 0 MB kwasababu fb yenyewe ni upuuzi tu badala ya watu kuwa busy na kazi ..hapa kazi tu.
 
hiki kipindi cha uchaguzi wanajaribu kupunguza taarifa zisizokua rasmi na za uchochezi kwa kudhibiti kwa kiasi kikubwa hasa upande wa mawasliano.mf.Kama ivo tigo walivyo announce.ata voda pia wamepunguza dk SMS na mbs za vifurushi vya chekaa
 
Uchaguzi mnashinda mno Jf sasa wamestukia kupanda dau ili habari zisisambae kwa kasi, kweli Magufuli hana huruma na watz nazidi kumchukia Mimi na kijiji change wote hatumpi kura zetu ng'ooooo, aende bagamoyo akasimamie ujenzi kwa best yake

mamaaeeeeeee lazima ukae mwaka huuu.unashindwaaaa mchukiaaa bwana akooo mwenye michepukooo kibaoo Una leta gubu kwa rais wetu ---- kwliii we
#hapa kazi tu
 
MKUU dr magufuli HV NDIO MMILIKI WA TIGO ama anahusika vp.
 
Back
Top Bottom