Wanaotuma watu kujilipua mabomu??

pascaldaudi

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2009
Posts
534
Reaction score
97
Wadau, hivi aliyeanzisha watu kujilipua ni nani?? Hivi inawezekana kuja kuwa historia kwa watu kutambua kuwa huo ni ujinga na ni sawa na kuwa jambazi??? Mfano Nigeria, wamepiga kura lakini eti bado watu wanajitoa mhanga siku ya kupiga kura!
 
sasa umegundua waarifu wanaotakiwa kupelekwa ICC hukooooo the Hague, lakini utawasikia wakisema oh! George Bush, Tony Blair, bla bla. Dunia hii bwana wahuni wanapeta tuu ila kosa ni kwa wale wanaojaribu kuwazuia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…