Ndugu wadau, Amani iwe kwenu.
Nachukua nafasi hii kuipongeza Serikali ya JPM kwa juhudi zake za dhati kupigana na ufisadi katika ofisi za umma na utumishi wa umma kwa ujumla. Wananchi wameonyeshwa kuridhishwa sana na juhudi hizi na sisi watanzania tunawaunga mkono.
Tunapozungumza ufisadi , ni katika Nyanja nyingi kwenye ofisi za umma. Mojawapo ya huo ikiwa ni ajira zitokanazo na kutoa rushwa, rushwa ya ngono, na zingine kama vile huyu ni kabila langu na huyu ni mtoto wa mjomba/shangazi nk.
Chuo cha ufundi Arusha ni sehemu mojawapo ambayo mambo haya yamekuwa yakijitokeza kwa kasi sana pamoja na kupigiwa kelele nyingi. Hasa hasa Menejimenti ya Chuo hiki hujikita kwenye rushwa za aina mbili ambazo ni Ngono na huyu ni mtoto wa mjomba/shangazi.
Hivi karibuni wameongeza staili nyingine ambayo kama si mfuatiliaji makini ni ngumu kuigundua. Sasa hivi huwa wanawapa walengwa maswali ya usaili wiki moja au mbili kabla ya usaili ili walengwa hao waweze kuwashinda wengine kirahisi. Hii ni staili iliyobuniwa hivi karibuni na wataalamu wa menejiment hii. Lakini bado hizo rushwa zingine zinabaki palepale hususan ngono pale anapotakiwa kuajiriwa binti.
Hivi karibuni tarehe 26/05/2016 na 27/05/2016 kutafanyika usaili hapa Chuoni, ambapo tayari harufu ya staili mpya ya utoaji wa maswali ya usaili huo umeshaanza kwa walengwa. Walengwa hawa, huwa wanaletwa kwanza na menejiment ya Chuo kufanya kazi na kulipwa na Chuo halafu zinatengenezwa nafasi za kazi kwa ajili yao ili waweze kuajiriwa rasmi na Serikali katika mkataba wa kudumu.
Usaili wa Tarehe 26/05/2016 na 27/05/2016 unawalenga watu ambao tayari wako zaidi ya miaka miwili hapa Chuoni wakifanya kazi kwa staili niliyosema na sasa muda wa kuwaajiri ndio huu. Walengwa hawa wapo katika idara za, UHASIBU, UDEREVA, NA MANUNUZI. Walengwa wawili hafanyi kazi hapa Chuoni bali Baba zao ni waalimu hapa katika idara za UMEME MITAMBO.
Walengwa hawa kwa majina ni kama ifuatavyo:
1 DRIVER (UDEREVA).
Kuna mtu anayeitwa REMMEN N. MASSAWE – Huyu ni ndugu na mkuu wa Chuo na amekuwa hapa kwa muda wa zaidi ya miaka miwili. Baada ya mkuu wa Chuo kumleta, mkuu wa huyu wa Chuo aliamua kumwondoa aliyekuwa Driver wa mkuu wa Chuo toka siku nyingi na kumweka huyu kijana kuwa dereva wake.
2 ACCOUNTANT (UHASIBU)
A. Kuna mtu tayari ameandaliwa. Huyu anaitwa DAVID MARTIN DONNI. Amekuwa katika ofisi za uhasibu kwa zaidi ya miaka miwili.
B. Kuna watoto wa waalimu. Watoto hawa hawafanyi kazi hapa Chuoni. Mara nyingi baba zao wamekuwa wakihaha ili vijana wao wapewe ajira hapa. Hawa walengwa ni; SALUM TWAHA
MUSHI na HAWA H. MWAHU
3 SUPPLIES OFFICER (MANUNUZI)
Kuna mdada anayeitwa CATHERINE SAMWEL ambaye ameshafanya kazi hapa kwa zaidi mwaka sasa. Hii ni aina nyingine ya ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka yaliyoko Chuo Cha Ufundi Arusha. Kwa mara nyingine tena naomba kuwasilisha hili tatizo lililoko hapa Chuo Cha Ufundi Arusha.
Ndugu wadau, mtakumbuka kuwa menejiment ya Chuo hiki imelaumiwa sana hapa nyuma pale ambapo imekuwa ikijikita kudai ngono, kwa akina dada pindi wanapoomba haki zao kama vile kujiendeleza kimasomo.
Chanzo: MF